MCHEZAJI WA ZAMANI WA HARAMBEE STARS AAGA DUNIA
Beki wa zamani wa KCB, wanamvinyo Tusker FC pamoja na Wazito FC Mark Odhiambo ameaga dunia baada ya kuugua kwa muda kutokana na uvimbe katika ubongo wake. Baada ya kustaafu soka Odhiambo amekuwa akijihusisha na biashara ya uchukuzi kama dereva wa mabasi ya Umoja jijini Nairobi. Mark Odhiambo alikuwa katika kikosi cha Harambee Stars kilichovaana […]
MCHEZAJI WA ZAMANI WA HARAMBEE STARS AAGA DUNIA Read More »



