UNGANENI MPATE MISAADA YA SERIKALI, FIKIRINI ASHAURI WACHEZAJI
Wito umetolewa kwa vilabu vya michezo mashinani kuungana na kutengeneza vikundi vitakavyosaidia kuanzisha miradi mbali mbali mashinani kama hatua moja ya kukabili ukosefu wa fedha kwa vilabu jambo ambalo linaathiri vilabu vingi kwa sasa. Fikirini Jacob ambaye ni kiongozi wa vijana alikuwa akizungumza na wachezaji baada ya fainali za mashindano ya talanta soka katika shule […]
UNGANENI MPATE MISAADA YA SERIKALI, FIKIRINI ASHAURI WACHEZAJI Read More »



