TUNAIMANI VIONGOZI WA SASA WATAIMARISHA MICHEZO YA KILIFI – ELLY KATANA
Wadau wa michezo katika kaunti ya Kilifi wameeleza imani yao kwa uongozi wa sasa wa kaunti hiyo wakisema kwamba kuna matumaini michezo huenda ikasonga mbele. Elly Katana ambaye ni mkufunzi mkuu wa kikosi cha Malindi Progressive FC na anasema kwamba michezo ya kaunti hii huenda ikaanza kuinuka kutokana na viongozi wa serikali walichaguliwa kuhudumu katika […]
TUNAIMANI VIONGOZI WA SASA WATAIMARISHA MICHEZO YA KILIFI – ELLY KATANA Read More »



