HABARI

HIMIZO LATOLEWA KWA VIONGOZI WOTE KUHAKIKISHA MGAO WA BASARI UNAWALENGA WALIO NA UHITAJI

Baadhi ya viongozi wa kijamii kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa wabunge pamoja na wanasiasa wote, kutekeleza haki na usawa katika zoezi la ugavi wa fedha za basari kwa wanafunzi wote. Kwa mujibu wa kiongozi wa  muungano wa wazee wa kimijikenda wa Malindi District Cultural Association, Stanely Kiraga , ugavi wa basari haupaswi kuzingatia masuala […]

HIMIZO LATOLEWA KWA VIONGOZI WOTE KUHAKIKISHA MGAO WA BASARI UNAWALENGA WALIO NA UHITAJI Read More »