LETENI MICHEZO LAMU, TUACHE UHALIFU
Vijana wa eneo la Witu katika kaunti ya Lamu wametoa wito kwa viongozi wa serikali kuwahusisha kwenye michezo ili vijana hawa wasijihusishe na magenge ya uhalifu. Uwepo wa changamoto za kiusalama katika wadi ya witu ndio jambo lililopelekea Suleiman Farah ambaye ni mwakilishi wadi wa eneo hilo kuanzisha mashindano ya soka ambayo yamehusisha vilabu zaidi […]
LETENI MICHEZO LAMU, TUACHE UHALIFU Read More »



