HABARI

ZAIDI YA VIJANA 450 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA NAMNA YA KUTAFUTA AJIRA KAUNTI YA MOMBASA

Mwenyekiti wa Msalaba mwekundu kaunti ya Mombasa Mahmoud Noor amesema zaidi ya vijana 450 wamefaidika kutokana na mafunzo ya namna ya kutafuta ajira kupitia mashirika ambayo siyo ya kiserikali. Mahmoud amesema mafunzo hayo ambayo yaliandaliwa na shirika la Msalaba Mwekundu katika kaunti hiyo yalijumuisha vijana kutoka maeneo bunge yote 6 ya Mombasa. Amesema kupitia mafunzo […]

ZAIDI YA VIJANA 450 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA NAMNA YA KUTAFUTA AJIRA KAUNTI YA MOMBASA Read More »

GAVANA WA TANA RIVER AZILAUMU BAADHI YA JAMII KAUNTI YA TANA RIVER

Gavana wa kaunti ya Tana River Dhadho Godhana amezilaumu baadhi ya jamii zilizoko kwenye kaunti hiyo kutokana na kile ambacho anadai kuendelea kuzingatia tamaduni ambazo zinaathiri shughuli za maendeleo kaunti ya Tana River. Amesema hulka ya jamii hizo kuendeleza mila na tamaduni hizo ambazo hazina msingi wowote zimechangia kwa baadhi wenyeji kupinga miradi ambayo inatekelezwa

GAVANA WA TANA RIVER AZILAUMU BAADHI YA JAMII KAUNTI YA TANA RIVER Read More »

RUWEIDA OBO ASEMA JAMII YA AWER INAYOISHI KWA KWENYE MSITU WA BONI ITAIMARISHWA KIELIMU

Mbunge wa Lamu Mashariki kaunti ya Lamu Ruweida Obo amesema katika uongozi wake hatambagua mwenyeji yeyote. Katika ahadi zake amesema atahakikisha jamii ya Awer ambayo inaishi kwenye msitu wa Boni inanufaika kielimu. Amesema ili jamii hiyo iweze kinufaika na elimu, atahakikisha watoto wa jamii hiyo ambao wanasomea shule ya msingi ya bweni ya Arid Zone

RUWEIDA OBO ASEMA JAMII YA AWER INAYOISHI KWA KWENYE MSITU WA BONI ITAIMARISHWA KIELIMU Read More »