MASHIRIKA NA WAHISANI PAMOJA NA VIONGOZI WA KISIASA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUTOA UFADHILI WA MASOMO MAGARINI
Vuguvugu la sauti ya wanawake eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi limetoa wito kwa mashirika, wahisani pamoja viongozi wa kisiasa, kujitokeza na kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wanaopaswa kujiunga na shule za upili eneo hilo. Kwa mujibu wa kiongozi wa vuguvugu hilo Bibiana Salim, kuna idadi kubwa ya wanafunzi ambao walipata matokeo bora […]



