HABARI

SEMI FAINALI ZA CHAN KURINDIMWA LEO ALGERIA

Mashindano ya mataifa bingwa afrika maarufu kama CHAN yamefikia katika hatua ya nusu fainali na jioni ya leo mechi mbili za kutafuta wanafainali zitakuwa zinarindimwa. Mwendo wa saa moja usiku wa leo wenyeji wa mashindano haya Algeria watakuwa wanashuka dimbani dhidi ya Niger wakati mabingwa wa Afcon waite Senegal wakirindimana na Madagascar mwendo wa saa […]

SEMI FAINALI ZA CHAN KURINDIMWA LEO ALGERIA Read More »

JOPO LA KUSKIZA NA KUCHUKUA MAONI KAUNTI YA TANA RIVER LATAKIWA KUTEKELEZA MAPENDEKEZO YANAYOTOLEWA NA WENYEJI

Afisa katika shirika la kijamii la KECOSCE kaunti ya Tana River, Steven Otoi amelitaka jopo la kuskiza na kuchukua mapendekezo ya mwananchi ya mipangilio ya serikali ya kaunti ya miaka mitano CIDP kuhakikisha inatekeleza mapendekezo ambayo yalitolewa kwenye vikao vya kukusanya maoni ya umma. Otoi amesema serikali ya kaunti imekua na tabia ya kutekeleza miradi

JOPO LA KUSKIZA NA KUCHUKUA MAONI KAUNTI YA TANA RIVER LATAKIWA KUTEKELEZA MAPENDEKEZO YANAYOTOLEWA NA WENYEJI Read More »