HABARI

BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI KUTENGA MILIONI MOJA KILA WADI ILI KUIMARISHA MICHEZO

Bunge la kaunti ya kilifi limepitisha mswada wa kutenga bajeti ya shilingi milioni moja kila wadi ili kusaidia kuimarisha michezo kupitia kuwawezesha wachezaji. Rashid Odhiambo ambaye ni mwakilishi wadi wa mji wa Malindi amesema kwamba changamoto ya usafiri ndio jambo ambalo sasa wanalenga kulikabili katika awamu ya pili kwa kutenga bajeti ambapo wanalenga kununua mabasi […]

BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI KUTENGA MILIONI MOJA KILA WADI ILI KUIMARISHA MICHEZO Read More »