VIJANA WENYE UMRI MDOGO KAUNTI YA MOMBASA WANAJIHUSISHA NA VISA VYA UHALIFU
Naibu Kamishna wa kaunti ya Mombasa Ronald Mwiwawi amesema vijana wadogo kwenye kaunti wamekuwa wakijihusisha na visa vya Uhalifu. Kulingana na Mwiwawi Kumechipuka magenge ya kihalifu ambayo yanawahusisha vijana wadogo katika kaunti hiyo hali ambayo amesema inawasababisha kuacha masomo. Amesema watoto hao ni wenye umri wa miaka 10 hadi 12 na kusema wanapaswa kuwa shuleni […]
VIJANA WENYE UMRI MDOGO KAUNTI YA MOMBASA WANAJIHUSISHA NA VISA VYA UHALIFU Read More »



