HABARI

MUUNGANO WA WAVUVI ENEO LA MALINDI WAPENDEKEZA KUWEKEWA MATAA

Muungano wa wavuvi wa Mijikenda Fishermen Association katika eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, umependekeza kuwekewa mataa katika baadhi ya barabara wanazozitumia kuingia baharini. Kulingana na Joseph Kaingu mmoja wa wavuvi hao, amesema ukosefu wa mataa katika baadhi ya sehemu hizo, kunahatarisha maisha ya wavuvi hao hasa nyakati za usiku, wakati wanapoendeleza shughuli zao kwenye […]

MUUNGANO WA WAVUVI ENEO LA MALINDI WAPENDEKEZA KUWEKEWA MATAA Read More »

MAAMUZI YA VAR SASA KUWEKWA PARAWANJA

Shirikisho la soka duniani Fifa limetangaza kwamba sasa marefa watakuwa wanatangaza moja kwa moja matokeo ya maamuzi ya VAR kwa mashabiki uwanjani. Kulingana na rais wa fifa Gianni Infantino ni kwamba utaratibu utasaidia kupunguza taharuki inayotokana na mashabiki kutoelewa maamuzi ya refa uwanjani na sasa mawasiliano yanafaa kufanyika parawanja. Ni hatua ambayo awali ilikuwa imeungwa

MAAMUZI YA VAR SASA KUWEKWA PARAWANJA Read More »