HABARI

CHRISTIAN ATSU ANUSURIKA UTURUKI

Naibu Rais wa klabu ya Hatayspor Mustafa Ozat amethibitisha kwamba Christian Atsu mchezaji wa klabu hiyo amenusuriwa akiwa na majeraha kutoka kwenye vifusi vilivyosababishwa na mtetemeko wa ardhi uliotokea kusini mwa taifa ya Uturuki. Hata hivyo mkurugenzi wa michezo katika klabu hiyo Taner Savut anasalia kukwama katika vifusi huku juhudi za kuokoa watu zikiendelea. Kufikia […]

CHRISTIAN ATSU ANUSURIKA UTURUKI Read More »

VIONGOZI WA CHAMA CHA PAA NA WA KENYA KWANZA KAUNTI YA KILIFI WAMEAHIDI KUWEKA KANDO TOFAUTI ZAO ZA KISIASA

Baadhi ya Viongozi wa Muungano wa Kenya Kwanza na wale wa chama cha PAA kaunti ya Kilifi wameamua kuweka kando tofauti zao za kisiasa ili kuwafanyia kazi wenyeji. Kwenye kikao na waandishi wa Habari, Viongozi hao wakiogozwa na David Kadenge ambaye alikua mwakilishi wa wadi ya Malindi Mjini kaunti ya Kilifi amesema licha ya kuwa

VIONGOZI WA CHAMA CHA PAA NA WA KENYA KWANZA KAUNTI YA KILIFI WAMEAHIDI KUWEKA KANDO TOFAUTI ZAO ZA KISIASA Read More »

MIKAKATI INAENDELEZWA KAUNTI YA LAMU KUBORESHA USALAMA

Naibu Kamishna wa kaunti ya Lamu Charlse Kitheka amesema mikakati thabiti imeanzishwa na asasi za usalama katika kaunti hiyo ili kuongeza maafisa wa ziada, NPR katika sehemu mbalimbali za kaunti ya Lamu ili kusaidiana na wanajeshi wa KDF pamoja na vitengo vingine vya usalama kuimarisha usalama. Kulingana na Kitheka maafisa hao wa NPR watatumwa kwenye

MIKAKATI INAENDELEZWA KAUNTI YA LAMU KUBORESHA USALAMA Read More »