HABARI

NERO CHISHENGA ALALAMIKA KUHUSU MECHI YA MOMBASA

Mkufunzi Nero Chishenga wa klabu ya Furunzi FC anaeleza kutoridhika na matokeo ya vijana wake katika mechi ya ugenini wikendi hii dhidi ya klabu ya Shimanzi FC mjini Mombasa ambapo Furunzi walitandikwa kichapo cha mabao 5-1. Nero amedokezea Tama la Spoti kwamba kulishuhudiwa maonevu kutokana na  waamuzi wa mechi hiyo hali ambayo anahoji kuwa kinyume […]

NERO CHISHENGA ALALAMIKA KUHUSU MECHI YA MOMBASA Read More »

CHARLES OKERE KUENDELEA NA MAJUKUMU YAKE YA KITAIFA

Doris Petra ambaye ni naibu rais wa shirikisho la soka nchini kenya amethibitisha bayana kwamba Charles Okeree ataendelea kuwa mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya kina dada ya Harambe Starlets. Hii ni kufuatia kuibuka kwa sintofahamu baada ya kamati ya mpito iliyokuwa chini ya waziri amina Mohamed kumfuta Okere na kumtwika majukumu Alex Alumira

CHARLES OKERE KUENDELEA NA MAJUKUMU YAKE YA KITAIFA Read More »