HABARI

SAMSON ZIA ASEMA HAKUNA MTU ANAPASWA KULIPA FEDHA ILI KUPEWA BASARI WADI YA ADU.

Mwakilishi wa wadi ya Adu eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, Samson Zia amesema hakuna mwananchi anayepaswa kulipa ada yoyote ili kupata fedha za ufadhili wa masomo ya watoto wao kupitia basari za serikali za kaunti ama hata ile ya kitaifa. Zia amesema wameweka mikakati ya kuhakikisha hakuna ambaye, analaghaiwa na baadhi ya wale […]

SAMSON ZIA ASEMA HAKUNA MTU ANAPASWA KULIPA FEDHA ILI KUPEWA BASARI WADI YA ADU. Read More »

VIONGOZI WA MAGARINI WASHAURIWA KUUNGANA KUIMARISHA MICHEZO

Wito umetolewa kwa viongozi wa eneo bunge la magarini kaunti ya Kilifi kuungana ili kuimarisha michezo katika eneo bunge hilo. Ukosefu wa udhamini unasalia kuwa donda sugu katika soka la Magarini jambo ambalo linakosesha motisha baadhi ya wachezaji. Akizungumza na tama la spoti jana baada ya mechi ya daraja la pili kitaifa mkufunzi mkuu wa

VIONGOZI WA MAGARINI WASHAURIWA KUUNGANA KUIMARISHA MICHEZO Read More »

WANAFUNZI WANAOTOKA KATIKA SHULE ZA MITAA YA MABANDA KAUNTI YA MOMBASA KUNUFAIKA NA UFADHILI WA MASOMO

Ni afueni kwa baadhi ya wanafunzi wanatoka katika shule za mitaa ya mabanda kaunti ya Mombasa baada ya seneta mteule kaunti hiyo Mirajj Abdillahi kuzindua hazina ya ufadhili wa masomo ya masomo ya sekondari kwa wanafunzi hao. Seneta hiyo amesema kuwa wanafunzi waliopata alama 350 na zaidi ndiyo walengwa wakuu wa mapango huo pamoja na

WANAFUNZI WANAOTOKA KATIKA SHULE ZA MITAA YA MABANDA KAUNTI YA MOMBASA KUNUFAIKA NA UFADHILI WA MASOMO Read More »