UJENZI WA KITUO CHA MATIBABU YA UGONJWA WA SARATANI KUANZISHWAKAUNTI YA TAITA TAVETA
Serikali ya kaunti ya Taita Taveta imeanzisha rasmi ujenzi wa kituo cha matibabu ya ugonjwa wa Saratani. Kulingana na Gavana wa kaunti hiyo Andrew Mwadime, ni kuwa ujenzi wa jumba la kisasa ambalo litatumika kama kituo cha afya cha ugonjwa huo, litajengwa kwa takriban siku 150 na kukamilishwa. Akizungumza na wananchi katika kaunti hiyo, gavana […]
UJENZI WA KITUO CHA MATIBABU YA UGONJWA WA SARATANI KUANZISHWAKAUNTI YA TAITA TAVETA Read More »



