HABARI

RAIS RUTO ARIDHISHWA NA UAMUZI WA WAKENYA KUAZIMIA KULIPA USHURU

Mjadala kuhusu ulipaji ushuru umeendelea kutawala majukwaa ya kisiasa baina ya serikali ya kenya kwanza na azimio la umoja one kenya huku rais William Ruto sasa akisema ameridhishwa na uamuzi wa Wakenya kuazimia kulipa ushuru. Akionekana kumjibu mamaNgina Kenyatta baada ya kauli yake kuhusu mdahalo huu mapema wikendi iliopita, Rais Ruto pia ameiagiza halmashauri ya […]

RAIS RUTO ARIDHISHWA NA UAMUZI WA WAKENYA KUAZIMIA KULIPA USHURU Read More »

WANAFUNZI WALIOMALIZA DARASA LA NANE KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA LEO

Wanafunzi wote waliofanya mtihani wa darasa la nane KCPE mwaka uliopita wa 2022 wanatarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza. Wanafunzi hao wapatao milioni moja watajiunga na shule za sekondari kuanzia hii leo huku idadi ndogo ya wanafunzi hao wakitajwa kufaulu kujiunga na shule ambazo walizichagua huku wengine wakikosa nafasi hizo kufuatia sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu

WANAFUNZI WALIOMALIZA DARASA LA NANE KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA LEO Read More »

UFADHILI WA MASOMO KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA KUANZISHWA WIKI IJAYO

Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inapania kuzindua ufadhili wa masomo kwa wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza juma lijalo. Wizara ya elimu chini ya waziri Gloria Monikombo imesema kuwa ufadhili huo utasaidia sana jamii zisizojiweza kwani kuna wengi ambao wanahitaji ufadhili huo ila hawana uwezo wa kifedha Waziri huyo amesema kwa sasa wanashirikiana na

UFADHILI WA MASOMO KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA KUANZISHWA WIKI IJAYO Read More »