MPANGO WA SERIKALI KUU KUAFIKIA UPANZI WA MITI BILIONI 15 UKAKOSA KUAFIKIWA
Huenda mpango wa serikali kuu kuafikia upanzi wa miti bilioni 15 kufikia mwaka wa 2032 ukakosa kufaulu, kutokana na hatua ya baadhi ya miti hiyo kupandwa katika maeneo kame ambapo miti hiyo hushindwa kustahimili kiangazi kikali. Haya ni kwa mujibu wa mwanaharakati wa kimazingira katika shirika KILIFI CLIMATE CHANGE GOVERNANCE PLATTFORM, Kelly Robert Banda akiwa […]
MPANGO WA SERIKALI KUU KUAFIKIA UPANZI WA MITI BILIONI 15 UKAKOSA KUAFIKIWA Read More »



