MASON GREEENWOOD APATA UHURU BAADA YA MASHTAKA DHIDI YAKE KUONDOLEWA
Ni rasmi sasa kinda wa timu ya taifa ya uingereza pamoja na klabu ya Manchester united mwite Mason Greenwood ameondolewa mashtaka yote yanayofungamana na ubakaji yaliyowasilishwa kortini dhidi yake. Mason Greenwood mwenye umri wa miaka 21 alikamatwa mapema mwaka jana baada ya madai kuibuka kwamba amehusika kwenye shambulio la ubakaji hasa baada ya picha na […]
MASON GREEENWOOD APATA UHURU BAADA YA MASHTAKA DHIDI YAKE KUONDOLEWA Read More »



