HABARI

TUTALETA VIFAA VYA MICHEZO MASHINANI – JACINTA MBEYU

Rais wa bunge la vijana katika kaunti ya Kilifi Jacinta Mbeyu ametoa hakikisho kwamba bunge la kaunti hiyo linalenga kutengeneza klabu ya mpira ya kaunti ambayo itawakilisha kaunti nzima katika mashindano mbalimbali ya soka. Kulingana na Mbeyu ni kuwa wizara ya michezo pamoja na mkurugenzi mkuu wa michezo katika kaunti hii wameanza mchakato wakuwinda talanta […]

TUTALETA VIFAA VYA MICHEZO MASHINANI – JACINTA MBEYU Read More »

NIGER NA MADAGASCAR KUTIFUANA USIKU WA LEO, KUTAFUTA MSHINDI WA TATU NA NNE

Mechi ya kutafuta msindi wa tatu na wanne katika mashindano ya mataifa bingwa Afrika maarufu kama CHAN itakuwa inarindimwa  usiku wa wa leo ambapo timu ya taifa ya Madagascar itakuwa inashuka dimbani dhidi ya Niger saa nne usiku. Fainali za mashindano hayo zitakuwa zinachezwa kesho ambapo timu ya taifa ya Algeria, waandaaji wa mashindano haya

NIGER NA MADAGASCAR KUTIFUANA USIKU WA LEO, KUTAFUTA MSHINDI WA TATU NA NNE Read More »

WAHALIFU WANAOWATATIZA WAHUDUMU WA BODABODA ENEO LA SHIMBA HILLS WAONYWA

Idara ya usalama eneo bunge la Shimba hills kaunti ya Kwale limewaonya wahalifu wanaotatiza  usalama wa wahudumu wa bodaboda katika baadhi ya maeneo ya eneo bunge Hilo hususan nyakati za usiku. Akizungumza akiwa eneo la Kizibe naibu kamishna wa eneo bunge hilo Moses Karwigi amesema asasi za usalama zinashika doria pia kuchunguza na kuwasaka wahalifu

WAHALIFU WANAOWATATIZA WAHUDUMU WA BODABODA ENEO LA SHIMBA HILLS WAONYWA Read More »