GUARDIOLA YWAMUOMBA RADHI GERARD
Mkufunzi wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola hadharani amemuomba radhi Steven Gerrad kwa kauli aliyoitoa hivi majuzi ya kumkejeli nyota huyo ambaye ni nahodha wa zamani wa klabu ya Liverpool alipomdharau kwa kauli ya kusema Mancheter City ndio chanzo cha Gerard kuteleza na kuanguka. Tukio linasalia katika historia ya soka ya ligi kuu nchini […]
GUARDIOLA YWAMUOMBA RADHI GERARD Read More »



