WAZIRI DAMA MASHA ASEMA WATAKABILIANA NA ONGEZEKO LA DHULUMA ZA KIJINSIA MIONGONI MWA WENYEJI WA KILIFI
Waziri wa michezo, tamaduni, sanaa na jinsia kaunti ya Kilifi Dkt. Dama Masha amesema wizara hiyo inalenga kukabiliana na ongezeko la dhulma za kijinsia miongoni mwa wanajamii kaunti ya Kilifi. Akizungumza kwenye mahojiano ya kipekee hapa Lulu fm, waziri Dama amesema akina mama, watoto na hata wazee ni miongoni mwa wanajamii wanaopitia dhulma nyingi katika […]



