TULILEMEWA NA UCHOVU LAKINI WIKENDI IJAYO TUTASHINDA – BENARD LUSI
Nahodha wa klabu ya Malindi Progressive mwite Bernard Lusi anasema uchovu wa wachezaji kutokana na changamoto ya usafiri ndio jambo kubwa lililowaponza wikendi ilopita walipopiga sare ya bao 1-1 dhidi ya klabu ya Kibera Soccer jijini Nairobi. Kulingana na Lusi ni kwamba basi lao walilokuwa wameabiri liliharibika katikati ya safari tukio ambalo liliwafanya kuchelewa kufika […]
TULILEMEWA NA UCHOVU LAKINI WIKENDI IJAYO TUTASHINDA – BENARD LUSI Read More »



