HABARI

ARSENAL WAPEANA NAFASI YA KWANZA KWA MABINGWA WATETEZI MANCHESTER CITY

Kwenye ligi kuu nchini uingereza sasa kumekucha baada ya klabu ya Arsenal kubimbindwa na mabingwa watetezi Manchester City katika dimba la ugenini Etihad kipigo cha mabao 3-1. Mabao ya Manchester City yamefungwa na kiungo Kevin De Bruyne, Jack Grealish lakini pia mshambuliaji raia wa Norwey Erling Braut Halaand akashindilia ushindi huo katika dakika za lala […]

ARSENAL WAPEANA NAFASI YA KWANZA KWA MABINGWA WATETEZI MANCHESTER CITY Read More »

SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUANZISHA MASHINDANO YA GOVERNOR’S CUP

Wizara ya michezo na jinsi katika kaunti ya Kilifi inalenga kuanzisha mashindano ya Governors Cup mwaka huu katika lengo la kusaidia na kuinua vipaji vya michezo kwa vijana katika kaunti hii. Akizungumza na tama la spoti asubui ya leo Ruth Dama masha ambaye ni waziri wa michezo katika kaunti ya kilifi anasema mashindano hayo yanalenga

SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUANZISHA MASHINDANO YA GOVERNOR’S CUP Read More »