HABARI

VIJANA WATANO WANOJIHUSISHA NA UHALIFU ENEO LA SHELLA MJINI MALINDI WATIWA MBARONI

Jumla ya vijana watano ambao wanadaiwa kutekeleza visa vya wizi wa kimabavu katika mitaa ya wadi ya Shella na mji wa Malindi kaunti ya Kilifi wametiwa mbaroni. Haya ni kwa mujibu wa naibu chifu wa eneo hilo la Shella Nicodemus Mwayele ambaye amesema idara ya usalama imekuwa ikiendeleza msako dhidi ya magenje ya kihalifu katika […]

VIJANA WATANO WANOJIHUSISHA NA UHALIFU ENEO LA SHELLA MJINI MALINDI WATIWA MBARONI Read More »

YUSUF LULE ATOA WITO KWA SERIKALI KUU KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USALAMA

Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu katika kaunti ya Mombasa yakiongozwa na lile ya HURIA yametoa wito kwa serikali kuu kuweka mikakati ambayo itakabiliana na visa vya ukosefu wa usalama nchini. Yakiongozwa na mkurugenzi mkuu wa shirika la HURIA Yusuf Lule yamesema hali hiyo inaendelea kuathiri shughuli nyingi nchini pamoja na maisha ya Wakenya. Lule

YUSUF LULE ATOA WITO KWA SERIKALI KUU KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USALAMA Read More »

GAVANA WA KILIFI GEDION MUNG’ARO AWAONYA VIJANA WANAOTUMIWA VISIVYO NA WANASIASA

Gavana wa kaunti ya Kilifi, Gideon Maitha Mung’aro amewataka wananchi waliowasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wake baada ya kuandaliwa kwa uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka jana wa wa 2022 kutekeleza agizo la mahakama baada ya Mahakama ya Malindi kutupilia mbali hiyo. Akizungumza nje ya afisi yake mjini Kilifi kaunti ya Kilifi, baada jaji wa

GAVANA WA KILIFI GEDION MUNG’ARO AWAONYA VIJANA WANAOTUMIWA VISIVYO NA WANASIASA Read More »