HABARI

AFISI YA MBUNGE WA MALINDI IMEELEZA KUWEPO KWA MIKAKATI YA KUJENGA SHULE ZA UPILI KATIKA KILA SHULE YA MSINGI

Afisi ya mbunge wa Malindi kaunti ya KIlifi, Amina Mnyazi imeeleza kuwepo kwa mikakati ya kujenga shule za upili, katika kila shule ya msingi iliyoko eneo bunge la Malindi. Kulingana na mratibu wa mipango katika afisi hiyo Dickson Chilango, hatua hiyo ni njia mojawapo ya kuboresha masomo ya wanafunzi katika eneo la Malindi, kwani kumekuwa […]

AFISI YA MBUNGE WA MALINDI IMEELEZA KUWEPO KWA MIKAKATI YA KUJENGA SHULE ZA UPILI KATIKA KILA SHULE YA MSINGI Read More »