HABARI

HIMIZO LATOLEWA KWA WAZAZI ENEO LA KISAUNI KUDUMISHA USHIRIKIANO BAINA YAO

Wazazi katika kaunti ndogo ya Kisauni kaunti ya Mombasa wamehimizwa kudumisha ushirikiano baina yao kama mbinu mojawapo ya kuwalea wanao kwa maadili. Ni wito uliotolewa na wazee wa mitaa wa kike kwenye kikao kilichoandaliwa na shirika la kijamii la kecosce, ambapo wazazi kwa jumla wametakiwa kushirikiana kwani ukosefu wa ushirikiano umetajwa kusababisha baadhi ya watoto

HIMIZO LATOLEWA KWA WAZAZI ENEO LA KISAUNI KUDUMISHA USHIRIKIANO BAINA YAO Read More »

ASILIMIA CHINI YA MBILI YA WANAFUNZI HAWAJAJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA

Mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Kwale Ahmed Mohamed Abdi amesema kuwa ni asilimia chini ya mbili pekee ya wanafunzi ambao hawajajiunga na kidato cha kwanza kaunti hiyo. Abdi amesema kuwa idadi kubwa ya wanafunzi kwa sasa wamejiunga na kidato cha kwanza huku akidokeza kuwa ni wanafunzi wachache pekee ambao pia kesi zao zinashughulikiwa kubaini

ASILIMIA CHINI YA MBILI YA WANAFUNZI HAWAJAJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA Read More »