BUNGE LA KAUNTI YA KWALE KUJADI MUSWADA WA KUKABILIANA NA DHULUMA ZA KIJINSIASEXUA
Bunge la kaunti ya Kwale limeanza kujadili muswada unaopania kukabiliana na visa vya dhuluma za kijinsia baada ya kuwasilishwa bungeni humo. Mwenyekiti wa kamati ya masuala ya kijinsia Rachel Katisya amesema muswada huo unalenga kuwalinda wanawake na watoto dhidi ya dhulma za kijinsia. Katisya amesema ndani ya mswada huo kuna mapendekezo ya kuitaka serikali kujenga […]
BUNGE LA KAUNTI YA KWALE KUJADI MUSWADA WA KUKABILIANA NA DHULUMA ZA KIJINSIASEXUA Read More »



