HABARI

ADEBAYOH ASTAFU SOKA

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Togo Emmanuel Adebayo ametangaza rasmi kusafu soka la ushindani baada ya kushiriki kabumbu hilo kwa kipindi cha miaka 22. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 39 anastafu soka akiwa amefunga mabao 97 ndani ya mechi 241 akiwa ligi kuu nchini uingereza ambako amechezea vilabu kadhaa ikiwemo Arsenal kuanzia mwaka […]

ADEBAYOH ASTAFU SOKA Read More »

WANAWAKE WAJAWAZITO ENEO LA MAGARINI WATAKIWA KUFIKA KWENYE KLINIKO ZILIZOKO KARIBU NA MAKAZI YAO

Akina mama katika eneo bunge la Magarini kaunti ya KIlifi wametakiwa kuhakikisha kuwa wanatembelea kliniki zilizoko karibu na makaazi yao, wiki sita baada ya wao kujifungua ili kupata huduma za kupanga uzazi. Kwa mujibu wa afisa mkuu wa nyanjani katika eneo bunge hilo Florence Cherono,idadi kubwa ya akina mama wamekuwa wakisusia maagizo hayo, ambayo hutolewa

WANAWAKE WAJAWAZITO ENEO LA MAGARINI WATAKIWA KUFIKA KWENYE KLINIKO ZILIZOKO KARIBU NA MAKAZI YAO Read More »