HABARI

VIONGOZI WALIOKAMATWA WAKIANDAMANA KUFIKISHWA MAHAKAMANI SIKU YA ALHAMISI

Kiongozi wa wachache katika bunge la seneti ambaye na pia seneta wa kaunti ya Kilifi, Stewart Madzayo, mbunge Opiyo Wandayi, mbunge Amina Mnyazi, mbunge Ken Chonga wanatarajiwa kufika mahakamani siku ya Alhamisi. Viongozi hao watajibu mashtaka ya kukusanyika pasipo kibali yani illegal assembly. Hii ni baada ya wabunge hao kutiwa mbaroni mapema hapo jana kabla […]

VIONGOZI WALIOKAMATWA WAKIANDAMANA KUFIKISHWA MAHAKAMANI SIKU YA ALHAMISI Read More »

RAILA ODINGA ASEMA MAANDAMANO YATAENDELEA KILA SIKU YA JUMATATU

Kinara wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa kutakuwa na maandamano kwa jina Unga revolution kila siku ya jumatatu baada ya maandamano ya jana jijini Nairobi na maeneo mengine ya taifa hili. Raila amesema kuwa maandamano hayo yanalenga kushinikiza serikali kushughulikia kupanda kwa gharama ya maisha akisema kuwa kila siku ya jumatatu

RAILA ODINGA ASEMA MAANDAMANO YATAENDELEA KILA SIKU YA JUMATATU Read More »

RAIS RUTO AMTAKA RAILA KUTUMIA KATIBA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAKENYA

Rais William Ruto amemtaka kinara wa Azimio Raila Odinga kutumia katiba kutatua changamoto zinazowakabili wakenya. Rais amezungumza haya katika ikulu ya Nairobi alipomuapisha solisita mkuu mpya shadrack Mose ambapo amesema kuwa kila mkenya bila kujali cheo au tabaka anapaswa kutii sheria ya taifa kwa mujibu wa katiba. Rais Ruto amesema kuwa kamwe hataruhusu watu wachache

RAIS RUTO AMTAKA RAILA KUTUMIA KATIBA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAKENYA Read More »