WENYEJI WA KAMALE WANAENDELEA KUKABILIWA NA KIANGAZI NA BAA LA NJAA
Wenyeji wengi katika eneo la Kamale huko Hadu kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi wanaendelea kuathirika na baa la njaa na ukame kutokana na kiangazi ambacho kinazidi kushuhudiwa katika eneo hilo. Mmoja wa wenyeji hao, Kahindi Ndoro anasema kwa kipindi cha miaka minne hakujashuhudiwa mvua katika eneo hilo hali ambayo imeathiri shughuli za kilimo […]
WENYEJI WA KAMALE WANAENDELEA KUKABILIWA NA KIANGAZI NA BAA LA NJAA Read More »



