HABARI

WAZAZI ENEO LA WATAMU WAHIMIZWA KUTHAMINI MASOMO YA WATOTO WAO

Wazazi katika wadi ya Watamu eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi, wametakiwa kuchukulia kwa uzito zaidi suala la masomo ya watoto wao ili kuhakikisha wananufaika maishani. Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi katika wadi hiyo wakiongozwa na mwenyekiti wa kamati ya fedha za WARD SCHOLASHIP FUND, Shebwana Mohammed pamoja na aliyekuwa mwakilishi wa […]

WAZAZI ENEO LA WATAMU WAHIMIZWA KUTHAMINI MASOMO YA WATOTO WAO Read More »

UHABA WA MAJI WADI YA GONGONI ENEO BUNGE LA GONGONI HUENDA UKAPATA SULUHU

Huenda wakaazi wa wadi ya Gongoni eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wakapata suluhu la kudumu kutokana na uhaba wa maji kupitia afisi ya mwakilishi wa wadi hiyo Stephen Baya. Kulingana na kiongozi huyo, wadi hiyo imekuwa ikikabiliwa na uhaba wa maji na kuwepo kwa barabara mbovu jambo ambalo, amesema ni sharti litatuliwe katika

UHABA WA MAJI WADI YA GONGONI ENEO BUNGE LA GONGONI HUENDA UKAPATA SULUHU Read More »