HABARI

JAMII YA WAMAKONDE KAUNTI YA KWALE YADAI KUTENGWA

Mwenyekiti wa jamii ya Wamakonde kaunti ya Kwale Thomas Nguli amesema jimii hiyo eneo bunge Msambweni imekuwa ikitengwa na serikali ya kaunti hiyo kwenye masuala ya ajira. Nguli amesema licha kutambuliwa rasmi kama Wakenya hawajakuwa wakihusishwa katika masuala ambayo yanahusu serikali ya kaunti ya Kwale. Aidha, ameipongeza serikali ya kitaifa kwa kuwatambua na kuwapa nafasi […]

JAMII YA WAMAKONDE KAUNTI YA KWALE YADAI KUTENGWA Read More »

HASSAN OLE NADO AMTAKA RAIS RUTO KUTOJIBIZANA NA RAILA ODINGA

Katibu mkuu wa baraza kuu la waislamu nchini SUPKEM Hassan Ole Nado sasa ameitaka serikali kuu kuangazia changamoto zinazowakabili Wakenya na namna ya kuzitatua. Kulingana na Ole Nado, gharama ya maisha inaendelea kuathiri maisha ya wengi na ni lazima mikakati iwekwe ili kuwanusuru Wananchi kwa sasa. Amemtaka Rais William Samoei Ruto kutojiingiza katika majibizano baina

HASSAN OLE NADO AMTAKA RAIS RUTO KUTOJIBIZANA NA RAILA ODINGA Read More »