HABARI

WAUMINI WA KANISA LA METHODIST MJINI MALINDI WAPATA AFUENI

Ni afueni kwa waumini wa kanisa la Malindi Methodist mjini Malindi kaunti ya Kilifi baada kurejea katika kanisa lao lililokuwa limefungwa kwa miaka mitat kutokana na kile wanachodai kuchangiwa na uongozi mbaya wa dhehebu hilo nchini. Wakiongozwa na Askofu wa dhehebu hilo ukanda huu wa Pwani, Gambo Davis Matano ametaja suala la waumini wa dhehebu […]

WAUMINI WA KANISA LA METHODIST MJINI MALINDI WAPATA AFUENI Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATENGA FEDHA ZA KUNUA VIFAA VYA MATIBABU

Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro amesema serikali ya kaunti ya Kilifi imetenga fedha za kununua vifaa vya matibabu, katika hospitali ya Marafa eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Kwa mujibu wa kiongozi huyo tayari wameagiza zaidi ya vitanda 100 vya kusaidia wagonjwa, watakokuwa wakilazwa katika kutuo hicho cha afya. Kulingana na

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATENGA FEDHA ZA KUNUA VIFAA VYA MATIBABU Read More »

KECOSCE YAWATAKA WENYEJI WA KAUNTI YA KILIFI KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA KIJAMII

Ipo haja ya wananchi pamoja na viongozi wa kijamii katika eneo la Malindi na kaunti ya Kilifi kwa jumla, kushirikiana ili kutatua baadhi ya changamoto za kiusalama katika jamii. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa mipango katika shirika la kijamii la kuangazia usalama na amani la KECOSCE Maxwell Lumbasi, ambaye ametaja ukosefu wa ajira

KECOSCE YAWATAKA WENYEJI WA KAUNTI YA KILIFI KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA KIJAMII Read More »