HABARI

MATOKEO YA DARAJA LA PILI KITAIFA, FURUNZI YACHEMKA ALASKAN

Klabu ya Yanga inayoongopzwa na mkufunzi Collins Omol iliitandika Furunzi Fc ya Mkufunzi Nero Chishenga kichapo cha mabao 4-1 katika derby ya kaunti ya kilifi. Ni mechi ambayo ilishuhudia kadi tatu nyuekundu zikitenbea kwa wachezaji huku Furunzi FC ikipokea mbili na Yanga Kadi moja ukiwa ni mchezo wa pili wawili hawa wanakutana ikizingatiwa kwamba katika […]

MATOKEO YA DARAJA LA PILI KITAIFA, FURUNZI YACHEMKA ALASKAN Read More »

BARAZA LA CIPK KAUNTI YA TANA RIVER LAMTAKA RAILA ODINGA KUSITISHA MAANDAMANO

Viongozi wa dini ya Kiislamu katika baraza la wahubiri na maimamu CIPK kaunti ya Tana River, wamemtaka kinara wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga kusitisha maandamano ya kila Jumatatu na Alhamisi kuanzia wiki hii kupinga uongozi wa rais William Samoei Ruto. Wakiongozwa na mwenyekiti wa baraza hilo tawi la kaunti ya Tana River

BARAZA LA CIPK KAUNTI YA TANA RIVER LAMTAKA RAILA ODINGA KUSITISHA MAANDAMANO Read More »