FKF WAMETUMIA BUSARA KUTUPIMA NGUVU NA IRAN, ASEMA OLUNGA
Timu ya taifa ya Harambe Stars iliwasili jana katika taifa la Iran kwa mchuano wa kirafiki dhidi ya timu hiyo inayosimama katika nafasi ya 24 ulimwenguni kote kwa mujibu wa viwango vya fifa kutokana kwamba pia mwaka jana ilishiriki katika mashindano ya kombe la dunia. Kenya inayosimama katika nafasi ya 101 katika viwango vya fifa […]
FKF WAMETUMIA BUSARA KUTUPIMA NGUVU NA IRAN, ASEMA OLUNGA Read More »



