TUSKER YAINUSA KOGALO
Wanamvinyo Tusker wanaoongozwa na mkufunzi Robert Matano sasa wameanza kufufua matumaini yao ya kutetea ubingwa wa fkf kwa kusajili ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Bidco United mchana wa leo. Kwa sasa Tusker inasimama katika nafasi ya pili wakiwa na alama 39 wakiwa na mechi moja kiporo huku Gor Mahia wakiongoza ligi na alama 45. […]
TUSKER YAINUSA KOGALO Read More »



