VIONGOZI WA KISIASA KAUNTI YA MERU WATAKIWA KUDUMISHA UMOJA.
Viongozi wa kaunti ya Meru wamesisitizwa kudumisha umoja kati yao na kuhakikisha kuwa jamii za eneo hilo zinaishi kwa amani. Ni wito ambao umetolewa na rais William Ruto, katika kikao na viongozi wa kisiasa eneo hilo, ambapo amewasisitiza kusaidiana katika kuwaleta wananchi wa eneo hilo pamoja. Rais Ruto amesema kuwa hatua yao, kudumisha umoja itawasaidia […]
VIONGOZI WA KISIASA KAUNTI YA MERU WATAKIWA KUDUMISHA UMOJA. Read More »



