MCHUNGAJI WA KANISA LA NEW LIFE KAUNTI YA KILIFI EZEKIEL ODERO AKAMATWA NA MAAFISA WA POLISI.
Mshirikishi wa utawala kanda ya Pwani Rodah Onyancha amedhibitisha kukamatwa kwa mchungaji wa kanisa la New Life Prayer Center, Ezekiel Odero katika eneo la Mavueni kaunti ya Kilifi Mapema hii leo. Kulingana na mshirikishi huyo ni kuwa mchungaji huyo, alikamatwa kutokana na kuwepo kwa madai ya vifo vya baadhi ya waumini wake, ambavyo wanadai vimekuwa […]



