HABARI

KENYA YAZIDI KUMEZEA MATE MAANDALIZI YA AFCON 2027

Mataifa matatu jirani (Rwanda, Tanzania na Kenya) yanayounda Jumuiya ya Afrika Mashariki yameanza mchakato wa kuomba kuandaa kwa pamoja mashindano ya Kombe la  AFCON mwaka 2027. Taarifa ya kuanza mchakato huo zimesemwa na Waziri wa Michezo wa Kenya Ababu Namwamba ambaye amesema wameshawasilisha maombi rasmi kwa pamoja huku kushindwa kwa taifa la Namibia na Botswana […]

KENYA YAZIDI KUMEZEA MATE MAANDALIZI YA AFCON 2027 Read More »

MKUFUNZI RIO ALALAMIKIA MAAMUZI MABAY YA REFA KWENYE KYISA

Mkufunzi wa soka Rio Ngumbao anayeongoza timu ya kaunti ya kilifi katika mashindano ya KYISA yanayoendelea katika kaunti ya Tharaka Nithi amelalamikia maamuzi mabaya ya marefa akisema kwamba hayo ndiyo yanasababisha mpaka kufukia sasa hawaja sajili ushindi hata mmoja. Rio akizungumza na Tama la Spoti kupitia njia ya simu anasema kwamba wachezaji wake wasiozidi umri

MKUFUNZI RIO ALALAMIKIA MAAMUZI MABAY YA REFA KWENYE KYISA Read More »