HABARI

BARAZA LA MAKANISA NCHINI NCCK LAIONYA SERIKALI DHIDI YA KUWAKANDAMIZA VIONGOZI WA KIDINI.

Mauaji ya halaiki eneo la shakahola yasitumiwe na serekali  kuyalenga makanisa na kupelekea kuundwa kwa sera zitakazo dhibiti maenoeo ya kuabudu humu nchini. Ni kauli ya mwenyekiti wa Baraza la kitaifa la makanisa humu nchini NCCK tawi la pwani Askofu  Peter Mwero ambaye amesema kuwa ipo haja ya serikali kufanya uchunguzi wa kina na kumkabili […]

BARAZA LA MAKANISA NCHINI NCCK LAIONYA SERIKALI DHIDI YA KUWAKANDAMIZA VIONGOZI WA KIDINI. Read More »

SERIKALI YA BADILI MFUMO WA UFADHILI WA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.

Serikali ya kitaifa imebadili mfumo wa ufadhili wa wavyuo vikuu nchini pamoja na taasisi za kiufundi nchini hali ambayo inadaiwa kuleta afueni kwa baadhi ya wanafuni wa taasisi hizo nchini. Akitangaza mabadiliko hayo baada ya kukoa na wadau wa elimu ya vyuo vikuu na taasisi hizo za kiufundi katika ikulu ya Nairobi, Rais William Ruto

SERIKALI YA BADILI MFUMO WA UFADHILI WA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU. Read More »

CEO WA FKF BARRY OTIENO AZIOMBA KAUNTI KUSHIRIKIANA NA MATAWI YAO

Afisa mkuu mtendaji wa wa shirikisho la soka nchini Kenya Barry Otieno amezitaka kaunti kote nchini kushirikiana na matawi ya shirikisho hilo kuboresha ligi. Akiongea na Tama La spoti kwa njia ya simu Otieno amesema kwamba shirikisho hilo linapania kuanzisha ligi ya vijana wasiozidi umri wa miaka kumi na mitano hivyo kuzitaka kaunti kushirikiana katika

CEO WA FKF BARRY OTIENO AZIOMBA KAUNTI KUSHIRIKIANA NA MATAWI YAO Read More »