HABARI

ABABU ASHAURI KUBUNIWA KWA ‘ACADEMY’ KWENYE KILA TIMU MASHINANI

Waziri wa michezo hapa nchini Ababu Namwamba ametoa wito kwa viongozi wa mashirikisho ya soka katika ngazi tofauti tofauti hapa nchini kutoruhusu vilabu visiyokuwa na timu ya wachezaji wachanga maarufu kama ‘academy’ kushiriki ligi zao kama njia moja ya kuhamasisha umuhimu wa kukuza vipaji katika umri mdogo ambao baadaye watasaidiwa na serikali. Kama wizara ya […]

ABABU ASHAURI KUBUNIWA KWA ‘ACADEMY’ KWENYE KILA TIMU MASHINANI Read More »

SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFUNGWA MAGEREZANI.

Waziri wa usalama wa ndani nchini Profesa Kithure Kindiki, ameahidi kuboresha mazingira ya wafungwa katika idara ya magereza humu nchini. Kulingana na Kindiki ni kuwa serikali, itahakikisha kuwa kila mfungwa anapewa kitanda chake na hata kuboresha baadhi ya vifaa vinavyo tumika katika kuwafunza taaluma mbali mbali. Akizungumza katika gereza la Embu kaunti ya hiyo ya

SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFUNGWA MAGEREZANI. Read More »

WANAHABARI WATAKIWA KUWAFICHUA VIONGOZI WA KIDINI WANAOENDELEZA ITIKADI POTOFU NCHINI.

Spika wa bunge la kitaifa nchini Moses Masika Wetanga, ameitaka wizara ya usalama nchini kuwaondelea wanahabari kikwazao, cha wao kutoingia ndani ya msitu wa Shakahola, wakati wakiendeleza zoezi la kufukua miili ya waumini wa kanisa la Good News International, linaloongozwa na mchungaji mwenye itikadi kali Paul Mackenzie. Kwa mijibu wa spika ni kuwa wakenya kwa

WANAHABARI WATAKIWA KUWAFICHUA VIONGOZI WA KIDINI WANAOENDELEZA ITIKADI POTOFU NCHINI. Read More »