HABARI

MALINDI PROGRESSIVE YAKAUKIWA NA USHINDI MECHI NNE MFULULIZO

Klabu ya Rainbow FC kutoka kaunti ya Nairobi imesajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Malindi Progrrssve katika uwanja wa Alaskan mechi ambayo imetamatika muda mfupi uliopita. Akizungumza baada ya mechi hiyo mkufunzi wa Rainbow fc Fred Mwaile amesema kwamba amefurahishwa na matokeo ya mechi hiyo ugenini licha ya mchezaji wake mmoja kupigwa kadi nyekundu

MALINDI PROGRESSIVE YAKAUKIWA NA USHINDI MECHI NNE MFULULIZO Read More »

MCHEZAJI WA KAMTONGA AENDELEA NA MATIBABU YA JERAHA LA MGUU

John King’oo ambaye ni nahodha wa klabu ya Kamtonga fc kutoka kaunti ya Taita Taveta inayoshiriki ligi ya daraja la pili kitaifa huenda akasalia mkekani kwa zaidi ya mwaka mmoja kutokana na jeraha alilopata mwezi machi mwaka huu alipovunjika mguu wake katika mechi dhidi ya klabu ya Yanga kutoka Malindi katika uwanja wa Alaskan ulioko

MCHEZAJI WA KAMTONGA AENDELEA NA MATIBABU YA JERAHA LA MGUU Read More »