HABARI

SHIRIKISHO LA SOKA LAFUNGIA KWA MDA WACHEZAJI NA MAREFA

Shirikisho la soka nchini Uganda, FUFA limetoa adhabu ya kufungiwa kwa muda, kwa wachezaji sita na waaamuzi wawili kutokana na tuhuma za upangaji matokeo katika mechi za Soka. Washirika waliopigwa marufuku ni pamoja na waamuzi Opio Deogracious na Nkurunziza George. Wachezaji ni Waiswa Andrew, Kakooza Yaya Mahad wanaoichezea Gaddafi FC, mchezaji wa Kitara FC Lwesibawa […]

SHIRIKISHO LA SOKA LAFUNGIA KWA MDA WACHEZAJI NA MAREFA Read More »