ODEGAARD NA JESUS WAIPAISHA ARSENAL USHINDI WA 3-1 DHIDI YA CHELSEA
Magoli mawili ya Martin Odegaard na moja la Gabriel Jesus yametosha kuwapa Gunners ushindi ugani emirates usiku wa kuamkia leo. Odegaard raia wa Norway aliwapa Arsenal uongozi wa mechi hiyo kwa kucheka na wavu dakika ya 18 kabla ya kuongeza goli la pili kunako dakika ya 31. Dakika tatu baadae Gabriel Fernando de Jesus aliwapa […]
ODEGAARD NA JESUS WAIPAISHA ARSENAL USHINDI WA 3-1 DHIDI YA CHELSEA Read More »


