RONALDO AINGIA KWENYE GUINNESS BOOK OF RECORDS
Mshambuliaji nguli wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo jana alizawadiwa cheti baada ya kuingia katika vitabu vya Guiness Book of Record kutokana na kucheza mechi nyingi zaidi akitumikia taifa lake. Kwa sasa Ronaldo ndiye mchezaji pekee aliyewahi kufikisha mechi 200 kutumikia taifa baada ya kuanza kusakatia Ureno soka mwaka 2003. Mreno huyo ambaye […]
RONALDO AINGIA KWENYE GUINNESS BOOK OF RECORDS Read More »



