NKUNKU ASAJILIWA NA CHELSEA, MANCHESTER UNITED NA PSG ZIKIMWINDA HARRY KANE
Klabu ya Chelsea hii leo imethibitisha kuwa Christopher Nkunku atakuwa mchezaji wao pale darajani Stanford Brigde baada ya kukamilisha usajili wake kutoka klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani. Nkunku ametia saini mkataba wa miaka sita baada ya makubaliano ya uhamisho wa pauni milioni 52. Nkunku ameifungia mabao 16 waajiri wake wa zamani RB Leipzig pamoja […]
NKUNKU ASAJILIWA NA CHELSEA, MANCHESTER UNITED NA PSG ZIKIMWINDA HARRY KANE Read More »



