TIMU ZA ENEO BUNGE LA MALINDI KUINGIA KAUNTI ZIMEBAINIKA
Shule ya upili ya wavulana ya Malindi pamoja na ile ya kinadada ya Kakoneni ndio shule zilizofuzu kutoka mashindano ya mpira wa soka eneo bunge la Malindi kaunti ya kilifi na sasa kuingia katika mashindano ya hatua ya Kaunti. Katika mchezo wa Voliboli shule ya upili ya Mekatilili pamoja na shule ya Barani zilifuzu kuwakilisha […]
TIMU ZA ENEO BUNGE LA MALINDI KUINGIA KAUNTI ZIMEBAINIKA Read More »


