HABARI

ANCELOTTTI KUWA MKUFUNZI MPYA WA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL

Mkufunzi wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti atakuwa mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya brazil kuanzia mwaka ujao. Hii ni kulingana na rais wa shirikisho la soka la brazil Ednaldo Rodriguez aliyesema kuwa wako mbioni kutafuta huduma za kimkataba na Ancelotti. Kwa sasa anayeongoza Samba Boys ambao ni mabingwa mara tano wa kombe […]

ANCELOTTTI KUWA MKUFUNZI MPYA WA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL Read More »

GOR MAHIA NDIO MABINGWA WA LIGI YA FKF, OMALA AKISHINDA KIATU CHA DHAHABU

  Klabu ya Gor Mahia ndio mabingwa wa ligi kuu ya fkf hapa nchini Kenya baada ya jana katika mtanangwe wa mwisho kusajili ushindim wa mabao 4-1 dhidi ya klabu ya Nairobi City Stars katika uwanja wa Moi Kasarani, jijini Nairobi. Kogalo walinyakua ubingwa wao wa 20 kwa utofauti wa alama moja dhidi ya Tusker

GOR MAHIA NDIO MABINGWA WA LIGI YA FKF, OMALA AKISHINDA KIATU CHA DHAHABU Read More »