HABARI

PETER MOLE YUPO SOKONI BAADA YA KUACHANA NA BEACH BAY

Mkufunzi wa klabu ya Beach bay Peter Mole amethibitisha kwamba ameachana rasmi na klabu hiyo inayoshiriki katika ligi ya daraja la pili kitaifa kutokana na kutoelewana baina ya uongozi wa klabu hiyo pamoja na mgawanyiko ulioko miongoni mwa wachezaji. Amesema kwamba kwa sasa yupo huru kuungana na klabu mpya na wiki hii amehusishwa katika kuiongoza […]

PETER MOLE YUPO SOKONI BAADA YA KUACHANA NA BEACH BAY Read More »

MARY NJOROGE KUWA KATI YA MAREFA WA MASHONDANO YA KOMBE LA DUNIA

Refa wa Kenya wa kike Mary Njoroge ni kati ya kikosi cha marefa kitakachotumika katika mashindano ya kombe la dunia la kinadada mwaka huu yatakayoanza rasmi mwezi huu wa Julai tarehe 20 mwaka huu 2023. Mashindano hayo yatakayodumu kwa kipindi cha mwezi mmoja yanaandaliwa na taifa la Australia pamoja na taifa la New Zealand. Mary

MARY NJOROGE KUWA KATI YA MAREFA WA MASHONDANO YA KOMBE LA DUNIA Read More »