VICTOR OSEMHEN ASHINDA TUZO LA MCHEZAJI BORA – CAF
Tuzo za Caf za wachezaji bora wa kiume na kike zilifanyika wiki hii (Jumatatu) katika taifa la Morocco. Victor Osemhen mchezaji wa klabu ya Napoli kule Italia na taifa la Nigeria ndiye mchezaji bora wa soka wa kiume huku Asisat Oshoala ambaye ni mchezaji mwenzake wa Nigeria akishinda tuzo la mchezaji bora wa kinadada mwaka […]
VICTOR OSEMHEN ASHINDA TUZO LA MCHEZAJI BORA – CAF Read More »



